Wafugaji wengi hupoteza kuku kwa sababu ya kutofuata ratiba sahihi ya chanjo. Katika makala hii utajifunza ratiba ya chanjo za kuku inayotumika Tanzania ili kuzuia magonjwa hatari kama kideri, gumboro na fowl pox.
Ratiba ya Chanjo
Siku 1–3
Vitamin + Glucose (kuwapa nguvu)
Siku ya 7
Chanjo ya Newcastle (HB1 au Lasota)
Siku ya 14
Chanjo ya Gumboro ya kwanza
Siku ya 21
Chanjo ya Newcastle ya pili
Siku ya 28
Gumboro ya pili
Wiki ya 6–8
Fowl Pox (Ndui ya kuku)
Kila miezi 3
Rudia Newcastle
👉 Ratiba inaweza kubadilika kulingana na ushauri wa daktari wa mifugo.
Makosa ya Kuepuka
Kuchanja kuku wagonjwa
Kutunza chanjo vibaya
Kuchanganya chanjo bila ushauri
jiunge whatsap group hili bure kwajili ya maswali na majibu
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete